MICHEZO NA WACHEZAJI
STRAIKA mpya wa Yanga, Yusuph Athuman amesema aina ya tizi wanalopiga kambini kwao Avic, Kigamboni wale River United ya Nigeria hawachomoki kwa Mkapa Jumapili hii; “Yaani wakikoswa sana mbili.” Yanga inarejea kwenye michuano ya k…
Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gendarmarie Nationale FC, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho siku ya jana, Simba sasa itacheza na Al Masry SC March 6 2018.
Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' amesema mpaka sasa bado ubingwa wa Ligi Kuu Bara hauna mwenyewe na kwamba kikosi chao kina mpango maalum wa kuwakimbiza vinara wa ligi hiyo Simba.
Vinara wa Ligi Kuu Bara Simba baada ya kuiondoa Gendarmarie kwa ujumla ya mabao 5-0 sasa watacheza na Al Masry ya Misri katika raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho asubuhi ya leo kwenye Uwanja wa Stade Linite utakaotumia kwa mechi ya kesho dhidi ya St. Louis.
Kocha msaidizi wa Simba Mrundi Irambona Masoud Djuma akiongea na kituo cha radio hapa chini amethibitisha kwamba golikipa wao Aishi Manula atakuwepo langoni katika mchezo wa marudiano wa Caf Confederation Cup dhidi ya Gendarm…
Yanga wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya dakika 40 uwanjani baada ya kumaliza mazoezi yao jioni hii kutokana na kucheleweshewa basi wanalolitumia kwa safari zao tangu walipofika Shelisheli.
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Migomba na chipukizi anayekua kwa kasi, Yohana Nkomola wamerejesha matumaini kwenye timu hiyo na kesho Jumamosi huenda wakawepo kwenye orodha ya kikosi kitakachoivaa St Louis ya Sheli…
Social Plugin